Mpiga picha wa shirika la utangazaji tanzania (tbc ) Elia Stephano ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni ya esk production ameshinda tuzo katika kipengele cha best c.e.o of the year in media and content creation katika tuzo za wakurugenzi vijana [young c.e.o awards afrika] zilizofanyika jiji dar es salaam(johari rotana hotel).
Idawa Media inakupongeza na kukutakia bidii na kufanya kazi kwa weledi ili kuliwakilisha vyema shirika la umma TBC na Kampuni yako ya ESK Production