Watu wengi bado hawajui jinsi ya kupata wateja wapya kupitia Mtandao na kwa namna gani wanaweza kuwafikia,leo nakuletea Template hii kwa ajili ya kudesign Simple Blog/ tovuti ya Huduma za Salon, itakusaidia kuongeza na kuitangaza huduma yako Mtandaoni na Kufanya booking ya kupata huduma.
Piki Salon ni template ya blog iliyoundwa kwa ajili ya saluni na tovuti ya kategoria za saluni.
Hii ni jalada bora kabisa lenye sehemu za ubunifu za saluni ambazo zinaweza kutumika kuonyesha maelezo ya saluni pamoja na tunaweza kupata fomu ya mawasiliano ya mteja au kuwasiliana na mteja bila kushika shimu.