Kamanda wa Chadema Kula Mwaka Mpya Nyumbani baada ya kukaa gerezani miaka 4

Adimin
0

 Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imewaachia huru makada watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wameshitakiwa kwa tuhuma za mauaji ya kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM).


Makada walioachiliwa huru ni George Sanga, Gudluck Mfuse na Octatus Mkwela, ambao kwa pamoja walikuwa wakituhumiwa kwa mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kwa vyuo vikuu Mkoa wa Iringa, Emmanuel Mlelwa.

Katika kesi Na.52 ya mwaka 2024, washitakiwa hao walikuwa wakitumiwa kutenda kosa hilo walilodaiwa kulifanya mwaka 2020.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

JIUNGE NA IDAWA MEDIA SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Idawa Media Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top