πŸ’₯ST. JOAKIM PRE & PRIMARY MAKETE WATANGAZA FURSA YA NAFASI ZA MASOMO

Adimin
0

 Habari Njema kwako Mzazi / Mlezi, Shule ya ST.JOAKIM PRE & PRIMARY SCHOOL DIOCESE OF NJOMBE inawatangaziaa nafasi za Masoko kwa wanafunzi wa Awali na Msingi, Shule Imesajiliwa kwa namba EM18113 Ipo Mamlakaa ya Mji Mdogo wa Iwawa Makete Mjini, Shule ni ya Bweni na Kutwa huduma ya Usafiri ipo ya uhakika muda wote.πŸ’₯πŸ’₯


HALI YA UFAULU.

Shule yetu Inamatokeo Mazuri kwa wanafunzi wa Msingi Mchepuo wa Kingereza kwa Darasa la Nne Na Saba na mwaka 2024,Shule ilifaulisha wanafunzi wote na kuongoza Kiwilaya kwa wastani wa Daraja 'A'  na matokeo hayo ni kutokana na uwepo wa miundombinu Bora ya kujifunzia na kufundishia, Usalama na eneo tulivu kwa watoto kusoma bila bughudha na malezi bora ya Kiimani kwa wanafunzi.

VIPI KUHUSU WANAOHAMIA/ KUJIUNGA

Ndio Shule Inapokea wanafunzi wa Kuanzia Darasa la Kwanza mpaka la Saba na Tunapokea Wanafunzi wa Kuhamia nafasi zipo, na Tunajivunia Wazazi waliotuamini Kutoka Mkoa wa Njombe na Mikoa mingine kama Daresalaam, Arusha Dodoma Iringa n.k

NAPAJE FOMU YA MAOMBI.

Ni rahisi Bofya Neno DOWNLOD / PDF Kupata Fomu kisha Fuata Maelezo yaliyoelekezwa, Ukipata Shida katika Ku Download Fomu usisite Kupiga simu namba zilizowekwa hapo chini. Kumbuka Kwetu siku zote Tunasema 'ST JOAKIM PRE & PRIMARY SCHOOL KWA ELIMU NA MALEZI BORA'


Download PDF Form hapa


Download Document Form Hapa


Lipia Fomu Mtandaoni Kwa Bei ya Punguzo kwa kubofya hapa

Kama Umeshindwa Ku Download Fomu, Fika Ofisini Kwetu Au PIGA SIMU ZIFUATAZO.

  1. 0765 167 731  
  2. 0755 052 986 au
  3. 0769 368 843




Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

JIUNGE NA IDAWA MEDIA SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Idawa Media Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top