Je! wewe Umesomea masuala ya fedha/ Uhasibu? basi changamkia Fura hii kutoka Kanisa la Assembles Of God TAG-Tandala ambalo linahitaji mhasibu atakayefanya kazi katika Mradi wa Malezi kwa Watoto na Kijana.
Mwisho wa kutuma maombi ni Tarehe 21/Disemba 2024 wahi Mapema kutuma Maombi na Kumbuka unatuma Online kwa Barua Pepe au Kwa WhatsApp Live 👇👇👇