Usiku wa Tanzania Comedy Award 2024/2025 ulikuwa wa kihistoria, ukitawaliwa na vipaji vya hali ya juu katika sekta ya vichekesho nchini Tanzania ambapo Rais Samia Suluhu Hassan akihudhuria kama mgeni rasmi.
Hawa ni baadhi ya washindi wa tuzo hizo:
🔥 Champion Of Comedy – Rais Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
🏅 Hall Of Fame – King Majuto 🕊️
🎖️ Tuzo ya Heshima – @coy_mzungu
🎭 Best Comedian Actor Of The Year – @jotiofficial
🎤 Best Comedy Special Award – @jolmaster
🤣 Best Male Comedian Of The Year – @nanga_og
🏆 Best Comedian Of The Year (People’s Choice) – @laughs_on_leonardo
👑 Best Female Comedian Of The Year – @asmah_majed
🎙️ Best Male Stand Up Comedian Of The Year – @eliudsamwel
🎤 Best Female Stand Up Comedian Of The Year – @officiallneila
😂 Best Funny Leader Of The Year – Makongoro Nyerere
⭐ Legend People’s Choice – @jotiofficial
📺 Best Comedy TV Show – Kitimtim
Hongera kwa washindi wote kwa kuendeleza na kukuza sanaa ya vichekesho Tanzania! 🇹🇿👏