Leo Marchi 2,2025 Wanawake wa Kanisa la TAG Tandala wameungana na wanawake wengine wa kanisa hilo kusherekea siku ya wanawake Duniani kwa kuanza na matembezi pamoja na kuhubili injili mtaa wa stendi ya Tandala na soko la wakulima Tandala.
Katika Mahubili yaliyotolewa sehemu hizo zote wananchi wametakiwa kumrudia Mungu kwa kumkubali kuwa ni Bwana na Muokozi wa Maisha yao na mahitaji yao mengine Bwana atawatendea zaidi kama alivyoahidi katika neno lake.
Mchungaji Kiongozi Jonas Sanga akishiriki Maandamano pamoja na waumini wengine hii leo kwenye siku ya wanawake WWK TAG Tandala |
Moja ya kijana akishuhudia msafara wa waumini wa kanisa la TAG Tandala hii leo ikiwa ni sikukuu ya wanawake WWK TAG Tandala. |