Jifunze Digital Skills hizi ili kuwa na uhakika wa kipato chako

Adimin
0

Watu wengi kwa sasa wanageukia Digital Skills na kuzitumia kama fursa kwa kujiajili na wengine kupata uhakika wa ajira sababu ya fursa zitokanazo na digital Skills.


Leo tunakuonesha fursa za Digital Skills ambazo unaweza kujifunza na kujipatia fursa za ajira. 

Soft skills za digital unazoweza kujifunza

1. Copywriting
HubSpot Academy – Ina kozi za bure za copywriting na content marketing.
Copyblogger – Ina makala na mafunzo ya bure kuhusu copywriting.
Udemy – Na hii pia ina kozi za copywriting.

2. Social Media Management
Meta Blueprint – Hii ni rasmi ya Facebook na Instagram na unaweza jifunza marketing kwa upande huo.
Hootsuite Academy – Pia ina kozi za bure social media marketing.
Google Digital Garage – Hii ni uhakika.. ni moja ya chimbo langu ninalolitegemea.

3. Blogging
ProBlogger – Kwa mtu anayeanza blogging, hii ni muhimu kutembelea kwanza.
WordPress Learn – Kwa wale ambao hawapendi kutumia blogger.. hii site ni alternative nzuri kujifunza kuhusu WordPress.
Medium’s Blogging Guide – Hii ina option ya bure na kulipia. Kazi kwako.

4. Vlogging
YouTube Creator Academy – Hii ina mafunzo rasmi ya YouTube kwa vloggers.
Skillshare – Tafuta kozi za bure za vlogging. Ushindwe wewe tu.
Udemy – Ina baadhi ya kozi za bure za vlogging.


5. Storytelling
FutureLearn – Hapa kuna maujanja ya storytelling.
TED-Ed – Ina video za kufundisha storytelling.
MasterClass (Trial) – Ingawa ni ya kulipia, inatoa mafunzo ya bure ya storytelling kwa muda mfupi.
6. Photography
Nikon na Canon wana Nikon School Online na Canon EOS Learn – ni site zao na wanatoa elimu ya bure kabisa.
PetaPixel – Hii ni blog, ina tips na tutorials za kutosha kuhusu photography.
7. Video Editing.. hapa mwalimu mzuri ni YouTube. Kila Software na Apps ya video editing, basi utakutana na tutorial zake kule.
8. Graphic Design
Canva Design School – Hii kwa wanangu wa Canva.
Adobe Creative Cloud Tutorials – Ina kozi za bure za Photoshop, Illustrator, nk.
Halafu kuna GIMP Tutorials – ni ya bure hii Software ni mbadala wa Photoshop.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top