Mfalme Zumaridi Mbaroni kwa Kuhubili kwa sauti ya juu

Adimin
0

 Jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Diana Edward Bundala (42) maarufu kama Mfalme Zumaridi mkazi wa mtaa wa Buguku kata ya Buhongwa kwa tuhuma za kuendesha shughuli za kidini bila usajili pamoja na kufanya mahubiri kwa waumini wake kwa sauti ya juu.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa  kwa waandishi wa habari na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema Mfalme Zumaridi pia anahojiwa kuhusiana na taarifa inayoendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii akionekana kwenye picha mjongeo akiwa na kundi la watoto wenye umri mdogo wa jinsia ya kike na kiume akiwaeleza kuwa yeye ndiye Mungu wao ambaye ana uwezo wa kuwatenganisha na kifo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top