Ikiwa siku 5 zimetimia tangu mtandao huu utoe taarifa ya mtoto wa miaka 6 kubakwa katika mtaa wa Ngalanga, Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe limefanikiwa kumkamata Mtuhumiwa Danieli Kafyulilo Ndone [39] kwa kosa la kumbaka mtoto huyo.
Akizungumza na waandishi wa habari Mei,27,2025 kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe ACP Mahamoud Hassan Banga.