Ujenzi wa Uwanja wa mpira wa miguu Arusha waendelea kwa kasi mpaka sasa umefikia asilimia 45 ya ujenzi wa uwanja huo, ambapo unauwezo wa kubeba Zaidi ya watazamaji 32, 000. Uwanja huu unatarajiwa kukamilika June 2026.
![]() |
Matarajio ya madhari ya nje ya uwanja wa Arusha Ukikamilika |
![]() |
Picha za nje uwanja ukikamilika |
![]() |
Huu ndio muonekano wa sasa wakati wa ujenzi wa Uwanja huo, picha juni 2025 |