Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 9, 2025
Adimin
July 08, 2025
0
Balozi wa Umoja wa Ulaya kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Christine Grau, alipokuwa akizungumzia ziara hiyo, alieleza kuwa “Tanzania ni mshirika wa kuaminika na mwenye utulivu katika eneo lenye umuhimu wa kimkakati.”