Agape, mwanamke mrembo mwenye ndoto kubwa za kuwa mama, kujenga familia yenye furaha na kuendeleza kazi ya uanamitindo, alikumbwa na changamoto kubwa ya chunusi zenye maumivu makali usoni. Tatizo hilo lilianza akiwa na miaka 22 na lilimnyima kujiamini, kumpa maumivu ya kimwili na kisaikolojia, hadi akaanza kuficha uso wake na kukosa hamasa ya kuendelea na kazi yake.
Baada ya kujaribu dawa mbalimbali, vipodozi na ushauri wa madaktari bila mafanikio, alikata tamaa kabisa. Hata hivyo, tangazo moja la Africure Herb kupitia Instagram lilibadili maisha yake. Alijaribu dawa za mimea na matunda za asili alizopewa, na ndani ya wiki chache ngozi yake ilianza kutulia, chunusi zikakauka na makovu yakaanza kufifia.