Breaking : HAYA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2025
Adimin
November 05, 2025
0
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limesema watahiniwa 937,581, sawa na asilimia 81.8 ya watahiniwa milioni 1.14 wenye matokeo, wamefaulu mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi mwaka 2025.