Award Mpandila Aomba Kura | Kesho kupigiwa kura za Ndio Kariakoo

Adimin
0

 Disemba 5,2024 ndio siku iliyokuwa ikisubiliwa kupiga kura kupata viongozi wa Jumuiya ya wafanyabiashara Kariakoo (JWK) ambapo mpambanaji na mfanyabishara Award Mpandila anagombea nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri kuu ya wafanyabiashara Kariakoo (JWK).


Akizungumza na Mtandao huu Mpandila amesema anajivunia kuwa sehemu ya wagombea na kupitia nafasi hiyo atashiriki na wafanyabiashara katika kuboresha mazingira ya ufanyaji wa biashara na kutetea maslahi ya wafanyabiashara 'NAOMBA KURA YAKO YA NDIO' sababu #BIASHARA NI MAISHA.

Award Mpandila Mgombea nafasi ya Mjumbe wa halmashauri kuu ya wafanyabiashara Kariakoo (JWK) aliaminiwa serikali kupitia kamati iliyoundwa na waziri mkuu kusikiliza na kuwasilisha mapendekezo ya wafanyabiasha nchi nzima. na hii ni sehemu ya historia ya utumishi wake katika taifa la Tanzania.

Fahamu machache kuhusu Award Mpandila

-Mkurugenzi Mtendaji:Mpandilah General Supplies company ltd (Chui battery Tanzania)

-Mjumbe mkutano Mkuu ccm TAIFA 2022-2027

-Mjumbe wa halimashauri kuu ya ccm Wilaya ya Makete 2022-2027

-Mjumbe kamati ya siasa Wilaya Makete 2022-2027

-Katibu mkuu chama cha maendeleo Makete (MDA)

-Mjumbe wa halimashauri kuu ya jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo

-Mwenyekiti Jukwaa la wateja wadogo na wakati (NMB BUSSINESS CLUB) wa NMB bank MKOA wa DSM

-Mjumbe wa bodi ya uongozi Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT)

Ewe mfanyabiashara kura yako ya Ndio ni Mpango mzima unaweza kuwasiliana na Award Mpandila kwa mawasiliano haya

Jina :Award Assah Mpandila 

Jinsia: M

Kazi: Biashara 

Simu : 0768484715

Email.mpandilashop@gmail.com

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top