Moja ya kitu ambacho utajifunza na kufurahia katika filamu hii ya MY DAUGHTER ni jinsi Muigizaji mtoto ambaye amepewa jina la Angle alivyoigiza vizuri filamu hii ya kichawi.
Unaweza Kutazama Kwa Kugusa video hapa chini au moja kwa moja SUBSCRIBE Youtube ya PROMOVIEW kupata filamu zote mpya moja kwa moja.