Moja ya basi lililokuwa limewabeba Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mombasa Nchini Kenya, limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii ya leo December 06,2024.
Taarifa iliyotolewa na Bunge muda hii imesema majeruhi wa ajali hiyo ambao ni Wabunge na Maafisa wa Bunge wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
Kwa taarifa zaidi endelea kuwa nasi na fuatilia habari zaidi kupiti hapa <more>>>