Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa zinazostahili ili kuzingatiwa kwa ajira ya haraka kujaza nafasi 48 za kazi za kitaaluma kama ifuatavyo:
Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 10 Aprili, 2025.
Kusoma nafasi za kazi zote zilizotangazwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam bonyeza hapa chini