Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO) wameilalamikia CHADEMA kwa kukosa mikakati ya kuwahuisha na kuwa wanachama wake hai, jambo ambalo wamelieleza kuwa tofauti na namna vinavyofanya vyama vingine.
Wakizungumza kwa nyakati tofautitofauti, wanafunzi hao wameeleza pia nia yao ya kuchagua na kuchaguliwa wakitanabaisha kuwa chama chao kinapaswa kurudi nyuma na kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025.
FULL VIDEO HII HAPA BOFYA