Simba yale yale ya mwaka 1993, yashindwa kufurukuta tena

Adimin
0

 Klabu ya Morocco - RS Berkane imetawazwa mabingwa wa Kombe la Shirikisho la CAF kwa mara ya tatu baada ya sare ya 1-1 ugenini dhidi ya Simba SC na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya 3-1 katika fainali iliyochezwa Jumapili kisiwani Zanzibar


Simba ilijipa matumaini kwa bao la mapema la Joshua Mutale dakika ya 17, lakini kasi ya upande wa Tanzania ilidhibitiwa baada ya beki Yusuf Kagoma kutolewa nje kwa kadi nyekundu dakika tano za kipindi cha pili.

Berkane ilionyesha uzoefu zaidi katika mechi hiyo na ilitawala nyakati muhimu wa mechi katika awamu zote mbili.

Licha ya klabu ya SC Simba kuonyesha mchezo mzuri na ari ya kutaka kushinda, Berkane ilionyesha mchezo wa kiwango cha juu zaidi kwa Simba kumudu

SHORT VIDEO CLICK HERE

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top