VIDEO:Msukuma amvaa waziri Dabi ya Kariakoo Kuota Mbawa 'WAZIRI NITAKUZINGUA'

Adimin
0

Mbunge Joseph Msukuma ameonesha kutoridhishwa na namna viongozi wa TFF na Bodi ya ligi pamoja na wizara ya husika walivyoshughulikia suala la kuchezwa kwa kariakoo dabi msimu wa pili ambayo bado haijachezwa mpaka sasa huku msuguano ukiendelea.

 “…Mheshimiwa Mwenyekiti namuuliza kaka yangu Kabudi mheshimiwa waziri, na nilikuona kutokana na mgogoro uliopo kwenye timu zetu hizi kubwa mbili nilikuona ulitoka saa nne usiku kwenye kikao lakini baada ya kutoka mle shaaa, mpaka leo hatujajua kilichotokea kule, natanguliza maneno haya ili uyajue nitashika shilingi…,” - Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top