Rais Deby wa Chad amuonesha jeuri ya Africa Trump

Adimin
0

 Rais wa Chad Mahamat Idriss Derby maarufu Jenerali Kaka amepiga marufuku nchi yake kutoa viza kwa Raia wa Marekani wanaotaka kutembelea Chad akisema amefanya hivyo kulipa kisasi baada ya Rais wa Marekani kutia saini tangazo la kupiga marufuku Raia wa nchi 12 kuingia Marekani ikiwemo Chad.


Mahamat amesema Chad ambayo ni nchi ya Afrika haina ndege wala mabilioni ya dola ya kuwapa Marekani lakini wanao uadilifu na utu wa kuulinda.

Tangazo la Trump linawazuia kabisa na kuwawekea mipaka Raia wa nchi hizo kuingia nchini Marekani, Mataifa hayo ni Afghanistan, Myanmar, Chad, Kongo, Guinea ya Ikweta, Eritrea, Haiti, Iran, Libya, Somalia, Sudan na Yemen.

Mahamat alichukua madaraka Aprili 2021 kufuatia kifo cha Baba yake, Idriss Dérby, aliyefariki baada ya kujeruhiwa katika mapigano kwenye uwanja wa vita.

KAMA HUKUTAZAMA TAMKO LA CHADEMA BOFYA VIDEO HII
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top