TV3 Sport sasa Kupatikana kisimbuzi cha Azam Tv

Adimin
0

 Taarifa njema kwa wadau, wapenzi na wafatiliaji wa michuano ya Ndondo Cup ni kwamba, kuanzia sasa mechi za msinu huu zitaoneshwa live kupitia TV3 Sports channel namba 416 ambayo inapatikana kwenye kisimbuzi cha Azam TV.



Channel ya TV3 Sports imezinduliwa rasmi  na itakuwa imesheheni maudhui ya michezo ya ndani ya nchi Ndondo Cup ikiwa ni miongoni pamoja na michezo ya kimataifa.

Meneja wa Vipindi wa TV3 Emmanuel Sikawa ameeleza namna walivyojipanga kuonesha Ndondo Cup katika ubora wa juu kwa kutumia vifaa bora na teknolojia ya kisasa.

USIPITE BILA KUTAZAMA VIDEO HII YA MOLLEL VS LISSU
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top