VIDEO:Mkutano wa John Heche wavamiwa ,Watu wajeruhiwa

Adimin
0

Taarifa iliyochapishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa facebook wa Chadema in Blood imesema kuwa kuna watu wamevamia mkutano wa chama hicho huko Igunga mkoani Tabora na kufanya fujo


Taarifa hiyo imesema mkutano huo ni wa makamu mwenyekiti wa chama hicho taifa John Heche ambapo wananchi wamewathibiti watu hao.
TAZAMA FULL VIDEO HII

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top