Waumini wa Kanisa la Askofu Gwajima watawanywa na Polisi

Adimin
0

 Polisi wamewatawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,eneo la Ubungo Dar es Salaam waliokuwa wamekusanyika Kanda mwa Barabara ya Morogoro wakiimba na kusali.


Baada ya muda waumini hao walitoa mabango yenye ujumbe tofauti huku wakiimba nyimbo.

Hatua hiyo ni baada ya polisi kuzingira Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo kiongozi wake mkuu ni Askofu Josephat Gwajima ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kawe.

Mapema asubuhi polisi waliwatawanya na kuwataka kwenda kusalia nyumbani kwa kuwa kanisa hilo limefungwa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top