Katika picha: Mashabiki wa Liverpool wamuomboleza Jota

Adimin
0

 Mashabiki wa Liverpool wamekuwa wakiweka mashada ya maua uwanja wa Anfield kumuomboleza mchezaji Diogo Jota aliyefariki katika ajali nchini Uhispania siku ya Alhamisi.





Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top