Jinsi ya Kulipwa na Facebook Ukiwa na Followers 1,000 Tu

Adimin
0

 Unadhani ili kulipwa na Facebook lazima uwe na followers milioni moja…?

Au uwe unatrend kila siku…?
La hasha! 😅


Ukweli ni kwamba, huitaji kuwa maarufu kupindukia ili kuanza kuingiza kipato kupitia Facebook. Hii siyo Hollywood bwana!

Wengi hudhani bila:
– 1M followers
– 100K views
– 50K engagement
– 10K likes
– 5K shares

…basi hawawezi kupata hela. Lakini ukweli ni tofauti kabisa.

Hivi Ndivyo Unavyohitaji Tu

1️⃣ Ukurasa (Page) au akaunti ya kawaida (Profile) ya Facebook.
2️⃣ Followers 1,000 tu.
3️⃣ Machapisho yako (iwe video, maandiko, reels au stories) yawe na engagement ndogo tu.
4️⃣ Akaunti yako isiwe na makosa ya kukiuka sheria za Facebook (Community Standards).

Ndiyo! Unachohitaji ni followers wasiopungua 1,000 na michangamiko kidogo tu kwenye machapisho yako. Hata kama engagement si kubwa, bado unaweza kuingia kwenye radar ya monetization ya Facebook.

Angalizo Muhimu

👉 Usichapishe picha au video zisizofaa.
👉 Epuka lugha ya matusi au kuwa toxic.
👉 Hakikisha page yako ni safi na inafuata masharti ya Facebook.

Kwa kifupi: Akili safi + Content safi = Fursa safi ya kipato.

Funzo kwa Leo

Usiweke akilini kwamba ni lazima uwe staa au mtu maarufu sana ndipo uanze kutengeneza hela kupitia Facebook.
Wakati wengine wanangoja watrend au wafikishe followers 1M, wewe anza na ulicho nacho sasa.

Facebook inaweza kuanza kukulipa mapema zaidi kuliko unavyofikiria.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top