Basi la News Force liliokuwa linatokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma lagongana na malori matatu maeneo ya Mlima Nyoka jijini Mbeya ambapo baadhi ya abiria wamepata majeraha madogo madogo.
Taarifa zaidi tunaendelea kufuatilia tutakuwekea hivi karibuni.....