Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama na Mgombea Urais kupitia Chadema Dr. Wilbroad Slaa amerejea Chadema na kupokelewa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu katika uwanja wa Ruanda Nzovwe, Mbeya, tarehe 23 Machi 2025 Chama kinazindua Operesheni #NoReformsNoElection katika jiji la Mbeya.
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.