Hii ndio shule unayopaswa kumpeleka mwanao kidato cha Tano 2025/26 kombi za sanaa na sayansi

Adimin
0

 Itulahumba Sekondari School inawatangazia nafasi za Masomo kwa kidato cha Tano kwa mwaka wa masomo 2025/26


Tumekuwa na Matokeo Mazuri kidato cha NNE na sita kila Mara tazama matokeo haya kwa mwaka 2019 , 2020,2021,2022,2023 na 2024

Matokeo kidato cha NNE Itulahumba secondary >>>

Hakika ni furaha yetu kuhakikisha mwanao anafaulu vizuri na kuendelea na elimu ya Juu!

Matokeo kidato cha sita Itulahumba secondary>>>

Kwa sasa Shule inakutangazia mzazi au mlezi nafasi za masomo kidato cha Tano 2025.26 na masomo yanatarajiwa kuanza mwezi julai 2025,mlete mwanao kwa elimu Bora na Malezi yenye maadili kwa manufaa yake ya kielimu siku zijazo.

HUDUMA ZETU

➡Shule ni ya bweni kwa wasichana na wavulana.

➡Shule ina mandhari mazuri ya kujisomea na kujifunzia.

➡Walimu waliobobea kwa masomo yote. Shule inamkuza mwanafunzi kiroho na kiakili.

➡ Shule inamilikiwa na kanisa hivyo maadili tunayapa kipaumbele zaidi.

 

SHULE ILIPO

Shule ipo kijiji na kata ya Itulahumba. Kwa wanaotoka barabara ya Makambako-Njombe kibao kipo upande wa kulia na wale wanaotoka barabara ya Njombe-Makambako, kibao kipo upande wa kushoto.

Ada ni nafuu sana na inalipwa kwa awamu.

Fomu zinapatikana shuleni Itulahumba, Amani English Medium Pr. School-Njombe, Kanisa la TPC Wangama na Magoma Stationary Makambako.

FOMU NI BUREEEEE KABISA

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE KWA NAMBA ZIFUATAZO:

0769200670

0769000540

0769368843

0769864002

Wahi sasa kupata nafasi ya mwanao kwa ajili ya kupata elimu bora,

TUMEAMINIWA KUTIMIZA NDOTO ZA WATOTO WA TAIFA HILI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

JIUNGE NA IDAWA MEDIA SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Idawa Media Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top