#UTEUZI; Mkeka wa Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya Huu Hapa

Adimin
0

  Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuhamisha Kenan Laban Kihongosi kutoka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha akichukua nafasi ya Paul Christian Makonda.


Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais (IKULU) leo June 23 2025 haijatoa taarifa zaidi kuhusu Paul Makonda.


Hata hivyo taarifa hizi za mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa na Viongozi wengine wa ngazi mbalimbali Nchini zimekuja ikiwa ni siku chache tangu Rais Samia alipowataka Viongozi wanaotaka kwenda kugombea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 waandike barua za kuachia nafasi za uongozi wanazozishikilia kwa sasa. 








Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
To Top