Yanga wasema NO REFOMS NO DERBY, Watoa Tuhuma Nzito kwa Kigogo wa serikali
June 09, 2025
0
MSEMAJI wa Yanga, Ally Kamwe amesema klabu hiyo, iko siriazi katika msimamo wa kutocheza mechi ya Kariakoo Dabi dhidi ya Simba, akisema Bodi ya Ligi Tanzania imepotosha juu ya matakwa yao manne.
Share to other apps